Mbwa Mwitu Waibuka Tena, Wavamia Wakata Mapanga Watu Mchana

Na Mwandishi Wetu, KUNDI la vijana waporaji wanaotumia silaa za jadi baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam leo wameibuka tena na kuvamia baadhi ya maeneo ya Kigogo Luhanga, jirani na Kanisa Katoliki Parokia ya Luhanga (eneo la Jaba) na kukata watu mapanga na kupora fedha na simu. Kwa mujibu wa mashuhuda kundi hilo liliibuka jirani na kituo cha kujiandikishia …

Bodi ya Filamu Tanzania Yakomalia Sheria, Kanuni

Na Benedict Liwenga, Maelezo-DSM BODI ya Filamu Tanzania imezitaka Kampuni za filamu nchini kufuata Sheria na Kanuni mbalimbali wakati wa kutengeneza filamu ili kuepusha ukiukwaji wa Sheria na Kununi. Rai hiyo imetolewa leo na Katibu wa Bodi hiyo, Bi. Joyce Fissoo wakati alipofanya mkutano na Kampuni ya Kajala Entertainment ambapo mnamo Septemba 22, mwaka huu ilikagua Filamu fupi ya kampuni …