Mbunge wa Kalenga Apinga Uyaya Jimboni Kwake

MBUNGE wa Jimbo la Kalenga, CCM mkoani Iringa, Godfrey Mgimwa amepiga marufuku wanafunzi waliofanya mtihani wa taifa wa darasa la saba 2014 kwenda mijini kufanya kazi za ndani (uyaya) kwa madai kuwa kazi hiyo ni aibu kubwa kwa wakazi wa Mkoa wa Iringa. Akizungumza katika mafahali ya darasa la saba Shule ya Msingi Kalenga na Kiponzelo jana mbunge Mgimwa alisema …