Mbunge UKAWA Asema Hofu ya Mungu Imemrudisha Bungeni

Na Magreth Kinabo, Dodoma MJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, Said Arfi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amezitaja sababu za kurejea katika bunge hilo, kuwa ni hofu ya Mwenyezi Mungu. Aidha Arfi ameitaja sababu nyingine ni kwamba amerudi katika Bunge hilo, ili kuhakikisha kwamba anaisadia nchi kupita katika mchakato wa …