Mbunge Lembeli Aihama CCM, Atangaza Kujiunga Chadema

ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Kahama kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), James Lembeli ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Akitangaza uamuzi huo Lembeli amesema amefikia uamuzi huo baada ya kushauriana na mama yake mzazi na wanafamilia. Amebainisha kuwa sababu za kukihama chama hicho ni pamoja na kukelwa na vitendo vya …