Namba ya Mbunge Moshi Mjini Yatumika Kutapeli…!

Mbunge wa Jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema). MBUNGE wa Jimbo  la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) anatoa tahadhari kwa umma ya kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia mbaya wanatumia namba yake ya simu ya mkononi  ya mtandao wa Vodacom kufanya utapeli. Watu hao wamekuwa wakituma ujumbe mfupi (SMS) kwa watu mbalimbali kwa lengo la kutapeli wakiomba kutumiwa fedha. Wakati akishughulikia suala hilo katika vyombo …

Mbunge Nassari Atembelea Karakana ya Vifaa Tiba Nchini China

Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwa katika moja ya karakana ya kutengeneza vifaa tiba katika mji wa Guangzhou nchini China. Nassari akifanya mazungumzo na wahusika wa karakana hiyo kujua namna ya kupata vifaa hivyo kwa ajili ya kusaidia Hosptali ya Wilaya ya Arumeru na vituo vya afya. Nassari akiwa amelala kwenye moja ya vitanda vya wagonjwa alivyokuta …

Mbunge Chadema Ashiriki Ujenzi Chanzo cha Maji, Tanapa Wajenga Ukumbi Olele,

  Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassar aiwa amepanda kwenye Lori lililokuwalikibeba mawe kwa ajili ya ujenzi wa chanzo kipya cha maji kwa ajili ya kumwagilia katika kijiji cha Karangai kata ya Kikwe katika jimbo hilo. Mbunge wa jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akishirikiana na wananchi katika kijiji cha Karangai kuweka mawe katika chanzo cha maji kwa ajili ya umwagiliaji. Mbunge Joshua …