Mama wa ‘Wanahabari’ Kuzikwa Jumatano Mbeya

Na Joachim Mushi MAMA mzazi wa waandishi wa habari Kulwa, Dotto na Nico Mwaibale aliyefariki juzi jijini Dar es Salaam katika Hospitali ya Hindu Mandal anatarajiwa kuzikwa siku ya Jumatano kijijini kwao Newland (Kibunde) Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya. Marehemu Bi. Twitikege Mlagha Mafumu ambaye ni mama mzazi wa wanahabari Kulwa Mwaibale mwandishi wa habari wa kampuni ya Global Publishers …

Mahafali ya 49 Chuo cha Biashara Kampasi ya Mbeya

  Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Musa Uledi akitoa tamko la kuwatunuku vyeti vya Astashahada katika fani za ununuzi na ugavi, uhasibu na uendeshaji wa biashara Wahitimu 37 katika mahafali ya 49 ya Chuo cha Elimu ya biashara (CBE) Kampasi ya Mbeya yaliyofanyika katika viwanya vya Mbeya Hotel.    Makamu mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara(CBE), Taaluma, …

Wanahabari Mbeya Kutangaza Vivutio Malawi na Zambia

BAADHI ya Waandishi wa habari Mkoa wa Mbeya wanaotarajia kufanya ziara ya kimafunzo nchini Malawi na Zambia wameagwa rasmi na viongozi wa Serikali. Waandishi hao wapatao 15 wanatarajia kuanza safari Septemba 14, Mwaka huu hivyo kabla ya kuondoka wameagana na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya na Halmashauri ya Jiji la Mbeya. Maagano hayo yamefanyika leo kwa nyakati tofauti …

Ikulu Yamtumia Rambirambi RC Mbeya Vifo vya Watu 10

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Abbas Kandoro kuomboleza vifo vya watu 10 vilivyotokea Mbalizi, Mkoani Mbeya Agosti 29, 2014 baada ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace maarufu kama Daladala Na. T 237 BFB kugongana na lori aina ya Tata Na. T 158 …