Mwanahabari Kalulunga Achukua Fomu Kugombea Ubunge Mbeya Vijiini

Na Mwandishi Wetu, Mbeya MWANDISHI wa habari mbobezi wa masuala ya Afya ya uzazi na dawa za kulevya nchini, Gordon Kalulunga, leo amechukua fomu ya kuwania Ubunge katika jimbo la Mbeya Vijiini mkoni Mbeya, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Akizungumza na waandishi wa habari ambao walifika katika ofisi za CCM za wilaya hiyo zilizopo eneo la Sabasaba Jijini Mbeya, Kalulunga …