Mbeya City FC Yamsaka Muuzaji, Muagizaji Vifaa

Na Mwandishi Wetu, TIMU ya Mpira wa Miguu ya Mbeya City iliyopo jijini Mbeya imetangaza zabuni kumsaka kampuni ambayo itapewa tenda ya uagizaji na uuzaji wa vifaa vyake vya michezo ili kuipatia clabu hiyo mapato kutokana na bidhaa zake. Kwa mujibu wa tangazo lililotolewa na Katibu Mkuu wa Mbeya City katika vyombo vya habari; timu hiyo imetangaza kutafuta kampuni yenye …