TTCL Mkoani Mbeya Waisaidia Sekondari ya Luswisi

 Meneja wa TTCL Mkoa wa Mbeya, James Mlaguzi akisoma taarifa ya msaada uliotolewa na kampuni hiyo katika shule ya Sekondari Luswisi.  Mbunge wa Ileje aliyemaliza muda wake, Aliko Kibona akitoa shukrani kwa niaba ya  wananchi wa Kata ya Luswisi kwa kampuni ya TTCL kutokana na msaada waliopokea.  Mbunge na Meneja wakipongezana baada ya kukabidhiana Saruji na Mbao.  Wanafunzi wa Shule …

Tigo Mkoani Mbeya Yafuturisha Wakazi…!

 Baadhi ya wakina dada wakiwa wamejiweka sawa kuwapokea wageni mbalimbali ambao walifika Ukumbi wa Mkapa Jijini Mbeya kwa ajili ya Kufuturu  Baadhi ya wadau wakiwa wanangoja muda wa kufuturu ufike   Bw. Francis Mwasamwene Meneja wa Mauzo Tigo Mkoa wa Mbeya ambaye pia alikuwa mratibu wa kufanikisha Shughuli hii ya Kuwafuturisha wakazi wa Mbeya akiongea Machache. Meneja wa Tigo Pesa Kanda …

Mtoto Albino Akatwa Mkono Mbeya, Vilio Vyatawala Hospitalini

  = Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Abbas Kandoro katikati akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Stellah Manyanya kwenye ofisi ya Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya Dk. Mpoki Ulisubisya walipotembelea kwa ajili ya kumjulia hali mtoto Albino aliyelazwa baada ya kukatwa kiganja cha mkono wake wa kulia.   Wakuu wa mikoa Stellah Manyanya(Rukwa) Abbas Kandoro(Mbeya) wakiwa katika hospitali ya Rufaa Mbeya kumjulia hali mtoto …

Ajali Zauwa Tena Watu 38 Mbeya na Kahama

MSIBA mwingine mzito umelikumba taifa baada ya watu 38 kupoteza maisha katika matukio mawili tofauti, likiwamo la ajali ya basi dogo aina ya Toyota Hiace iliyoua watu 19 wakati ikifanya safari ya wizi mkoani Mbeya. Tukio jingine limetokea mkoani Shinyanga ambako wachimbaji wadogo 19 wa dhahabu waliokuwa katika mgodi mdogo wa Kalole, wilayani Kahama wamekufa baada ya kufunikwa na kifusi …

Benki ya Posta Yatoa Semina kwa Wafanyabiashara Mbeya

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) Tawi la Mbeya, imetoa semina kwa Wajasiriamali wa mkoa ikiwa na lengo la kuwaongezea ujuzi kwenye biashara zao. Semina hiyo ya siku moja imefanyika kwenye ukumbi wa Mtenda Sunset mjini Mbeya na kufunguliwa na Mkuu wa Wilaya, Profesa Norman Sigallah. Akizungumza kwenye uzinduzi wa semina hiyo ambayo pia ilihudhuriwa na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki …