Mbatia Cup 2015 Yafilia Nusu Fainali, Zawadi Zatajwa

Baadhi ya viongozi wa Chama cha NCCR-Mageuzi jimbo la Vunjo akiwa katika hafla fupi ya kutangaza zawadi kwa washindi wa mashindano ya Mbatia Cup 2015. Mmoja wa Waratibu wa Mashindano ya Mbatia Cup 2015 yanayofanyika katika jimbo la Vunjo, Danielson Shayo akizungumza wakati wa kutangaza zawadi kwa washindi. Baadhi ya iongozi wa timu zinazoshiriki mashindano hayo. Kikosi cha timu ya …