Himo FC Waibuka Mabingwa Mbatia CUP 2015…!

  Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia akiwasili katika uwanja wa Himo Polisi kwa ajili ya kushuhudia fainali ya Mashindano ya Kombe la Jimbo, maarufu kama Mbatia Cup 2015. Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi taifa,James Mbatia akisamiana na wachezaji wa timu ya Wazalendo FC kabla ya kuanza kwa mchezo. Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia akikagua kikosi cha wachezaji wa …