JK, Dk Bilal Aongoza Waombolezaji Kumuaga Dk Shija

Rais Kikwete Amwaga Marehemu Dk. Shija RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete Oktoba 12, 2014, ameungana na waombolezaji kutoa heshima za mwisho na kuaga mwili wa Katibu Mkuu wa Kwanza Mwafrika wa Chama cha Mabunge ya Jumuia ya Madola (CPA) Dk. William Ferdinand Shija, ambaye pia alipata kuwa Waziri Mwandamizi wa Serikali, katika shughuli iliyofanyika kwenye …