Clara Msekwa Alivyopumzishwa Katika Nyumba ya Milele

Ibada ya Kumuombea Marehemu Clara Pius Msekwa ikiendelea nyumbani Kwa mama mkubwa wa marehemu maeneo ya Kimara Korogwe kabla ya kwenda kupumzishwa katika nyumba yake ya Milele katika makaburi ya Mburahati jijini Dar Es Salaam mwishoni mwa wiki. Mfanyakazi wa Proin Group, Emmanuel Mdinka akipita pembeni ya jeneza lenye mwili wa marehemu Clara Pius Msekwa Kwaajili ya kutoa heshima zake …

Marehemu Mzee Francis Kitime Asafirishwa kwa Mazishi

BABA wa mwanamuziki mkongwe na nguli nchini Tanzania, John Kitime aliyefariki Agosti Mosi, 2015 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili ya jijini Dar es Salaam amesafirishwa kuelekea mkoani Iringa tayari kwa mazishi. Marehemu Mzee Francis Raphael Kitime alisafirishwa jana baada ya kufanyika ibada ya kumuombea na kutoa heshima za mwisho kwa ndugu na jamaa wa familia ya marehemu waishio Dar es …