Na Emanuel Madafa, Mbeya MKUU wa Mkoa wa Mbeya Amos Makalla ametoa siku 14 kwa Halmashauri zote za Mkoa wa Mbeya kuhakikisha inawaondoa watu wote waliovamia maeneo ya hifadhi za misitu pamoja na hifadhi ya misitu ya Mlima Mbeya. Aidha amesema agizo hilo pia liendane na suala la kudhibiti shughuli zote za kibinadamu kando kando ya mita 60 kwa kufuata sheria ya mita 60. Mkuu …
Wanafunzi IST Watengeneza Mifuko ya Kutunza Mazingira
Mkurugenzi wa Masoko Limited, Bwana Constantine Majavika (kushoto) akifafanua kuhusu ubunifu uliofanywa na vijana wa Shule ya International School of Tanganyika (IST) mbele ya Waandishi wa Habari leo 23 Desemba, 2015 katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) wa kutengeneza mifuko kwa ajili ya utunza mazingira dhidi ya utupaji taka ovyo. Kushoto ni Shilen Dauda na katikati ni Alyanz Nasser. Kijana wa Shule …
Mafundi TEMESA Wafundwa Juu ya Usimamizi na Ukaguzi Mazingira
MAFUNDI sanifu wa Wakala wa Umeme na Ufundi (TEMESA), kutoka mikoa mbalimbali nchini wameaswa juu ya umuhimu wa tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira katika maeneo yao ya kazi ili kuweza kudhibiti athari za mazingira zinazowakabili na kusababisha mabadiliko ya tabia nchi. Hayo yameelezwa na Mkurugenzi wa Idara ya Tathmini ya Athari ya Mazingira kutoka Baraza la Taifa la kuhifadhi …
Sekta ya Mifugo Inavyohabari Mazingira Katavi
Na Kibada Kibada – Katavi SEKTA ya Mifugo Halmashauri ya Wilaya ya Mpanda Mkoani Katavi inakabiliwa na Changamoto mbalimbali hali inayofanya sekta hiyo kutafuta mbinu na mikakati ya kukabiliana na changamoto hizo ikiwemo uharibifu mkubwa wa mazingira kutokana na wingi wa mifugo uliopo kuliko ukubwa wa eneo la kufugia mifugo hiyo. Baadhi ya Changamoto hizo ni kuwepo idadi kubwa ya …
Dk Bilal Amwakilisha JK Mkutano wa Kimataifa wa Mazingira Duniani
MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohammed Gharib Bilal Desemba 09, 2014 amemuwakilisha Rais Jakaya Mrisho Kikwete ambaye ni Mwenyekiti Kamati ya Wakuu wa Nchi na Serikali Barani Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabia Nchi, kwenye mkutano wa Kimataifa wa Mazingira Duniani (Cop20) unaofanyika jijini Lima, Peru. Pamoja na shughuli nyingine ambazo zimemuhusisha Makamu wa Rais …
UNDP Watembelea Mradi wa Mazingira Kinukamori Enterprises
Mkurugenzi Mtendaji wa EWP na Mkurugenzi wa Kinukamori Enterprises, Bw. Alpha Phares Moshi (wa pili kushoto) akimkaribisha Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la maendeleo UNDP, Alvaro Rodriguez alipowasili kwenye Taasisi isiyo ya kiserikali inayo shughulika na uhifadhi wa mazingira eneo la Kinukamori, Marangu mkoani Kilimanjaro wakati wa ziara yake ya kukagua miradi mbalimbali inayofadhiliwa na …
- Page 1 of 2
- 1
- 2