Serikali ya Watanzania Ikowapi Sabasaba..?

Mhariri pole na hongera kwa kazi nzuri ya kutupatia taarifa mbalimbali zinazo tuhusu Watanzania. Kisha napenda kutumia nafasi hii kuomba serikali ya Mh Rais Jakaya Kikwete iliyopewa dhamana na Watanzania kuwaonea huruma Watanzania kwa kuwapunguzia mzigo mzito wa malipo ya kuingia kwenye Maonesho ya Sabasaba. Binafsi nimefika kwenye maonesho hayo lakini nilichoshuhudia jana nikwamba maonesho yamewalenga wenye kipato cha juu …

MaxMalipo Wazinduwa Huduma Mpya kwa Simu ya Kiganjani

  MAXCOM Maxcom Africa maarufu kama MaxMalipo ni kampuni ya kitanzania iliyoanzishwa mwaka 2010 ambayo imewekeza katika kurahisisha maisha ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kiuchumi na kijamii kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya mawasiliano (ICT Technology).   Ili kufikia malengo na Sera ya Taifa ya kutumia mifumo ya kielekroniki kutoa huduma na pia kuwezesha Watanzania walio wengi kufikiwa na huduma hizi …