*JK ateuwa mawaziri na kuwaapisha papo hapo ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekimbia aibu ya kutimuliwa katika nafasi yake ya uwaziri baada ya kujiuzulu saa chache kabla ya Rais Jakaya Kikwete kufanya mabadiliko ya baraza lake na mawaziri na kumtupa nje Profesa huyo mtaalamu wa masuala ya miamba. Jana asubuhi Profesa Muhongo aliwaita waandishi wa habari …