Mtwara na Mkakati wa Mawasiliano Kukabiliana na Maafa

OFISI ya waziri Mkuu kupitia Idara ya Uratibu wa Shughuli za maafa imewasilisha Mkakati wa Mawasiliano wa kukabiliana na maafa kwa mkoa wa Mtwara. Mkakati huo umetayarishwa kwa ajili ya kuhakikisha kwamba kunakuwa na Mtiririko unaoeleweka wa taarifa za tahadhari kabla ya maafa, wakati wa maafa na baada ya maafa kutokea. Mkakati huo umezingatia majanga ambayo yamekuwa yakitokea mara kwa …

TTCL Kupeleka Mawasiliano Katika Vijiji 76

KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imesaini mkataba na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) wenye gharama ya USD 2,244,376/- milioni (sawa na Tsh 4.1/- bilioni) kwa ajili ya kupeleka mawasiliano ya simu katika kata 19, yenye vijiji 76. Kata hizo zinatakazonufaika na mradi huu ni pamoja na; Gelai Meirugoi, Arash na Olbalbal- Arusha, Mbondo – Lindi, Makame Shambarai na …