Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ahmed Msangi. KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume mmoja Mkazi wa kijiji cha Malolo Ndugu Chipunguli Mkisi (30) amemuua mke wake kwa kumkata panga kichwani kisha yeye mwenyewe kujiua kwa kujinyonga. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Ndugu Ahmed Msangi amesema tukio hilo la aina yake limetokea Desemba 15 mwaka huu majira ya saa …
Mwanahabari Ajitolea Kupambana na Mauaji ya Albino
Na Mwandishi Wetu MMOJA wa watu wenye ulemavu wa ngozi, albino na mwanahabari shupavu kutoka kampuni ya Mwananchi Communication, Henry Mdimu amejitolea kuwa balozi wa hiyari kupinga mauaji ya kikatili ya watu wenye albino yanaoendelea nchini. Bw. Mdimu ambaye ameungwa mkono na baadhi ya marafiki na watu wanaokerwa na vitendo hivyo, ikiwemo Chama cha Bloggers nchini, Tanzania Bloggers Network (TBN) amesema ameamua kufanya hivyo …
Wanasiasa Tanzania Wahusishwa na Mauaji ya Albino!
Katika makala iliyopewa jina la “Love in a Time of Fear: Albino Women’s Stories From Tanzania”, iliyorushwa kwenye gazeti la intaneti la Huffington Post (tarehe 25/10/2013 na kuhuwishwa tena tarehe 23/01/2014) kutoka Marekani, ililbaini kwamba wanasiasa wa Tanzania wanahusishwa na mauaji ya albino, na kipindi cha uchaguzi ndio kipindi hatari kwa maisha ya albino nchini. Kuhusishwa huko kwa wanasiasa wa Tanzania, …
Mauaji Haya ya Albino Mpaka Lini?
Na Evarist Chahali 25/2/2015 “Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote, Nchi yangu Tanzania, jina lako ni tamu sana Nilalapo nakuwaza wewe, niamkapo ni heri mama wee. Tanzania Tanzania, nakupenda kwa moyo wote.” Huu ni ubeti wa wimbo maarufu ambao ‘zamani hizo’ tulipouimba tulijisikia ‘raha’ flani kuhusu nchi yetu. Tulikuwa na kila sababu za kuipenda Tanzania kiasi …
UN Yaomba Juhudi Ziongezwe Kukabili Wauaji Albino
Mratibu Mkazi wa mashirika ya Umoja wa Mataifa na mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) nchini, Alvaro Rodriguez akizungumza na binti wa miaka 19 ambaye ni mlemavu wa ngozi na kutosikia, Masalu Masuka ambaye anaishi katika kituo cha watoto walemavu cha Buhangija baada ya kukimbia kwao Bariadi kukwepa wauaji wa albino. Binti huyo alijifungua mtoto wake …
Mauaji Wakenya; Mkuu wa Polisi Kenya Ajiuzulu
INSPEKTA Generali Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Kenya, David Kimaiyo ametangaza kujiuzulu ikiwa ni shinikizo kutokana na yeye kushindwa kuwajibika juu ya matukio kaadhaa ya ushambulizi toka kwa wanamgambo wa kundi la Al Shabaab yanayoendelea kupoteza maisha ya raia wa Kenya. Generali Kimaiyo ametangaza uamuzi huo huku yeye akiuita kustaafu mapema kutokana na kushindwa kuwalinda raia wa nchi hiyo, …