Matukio Picha Mitaa Anuai Mkoani Kigoma…!

 Umati wa watu uliojaa mtaani wakishuhudia bint mwenye matatizo ya akili Sinina Maliki akipigwa   na bint wa mitaa hiyo ya Katandala eneo la kibirizi Asha Kigwiza , Mkoani kigoma.  Wananchi wa Kijiji cha Usindi Wilaya ya Kaliua wakilitazama tela la Gari lenye kichwa chenye namba za usajili T282 ALM la kampuni ya vinywaji aina ya kokakola Kijana Eflahim Maksoni akitembea …