CCM, CHADEMA Wachuana Vikali Matokeo Uchaguzi Mkuu

MATOKEO ya Uchaguzi Mkuu nafasi za madiwani, wabunge na urais uliofanyika jana maeneo mbalimbali nchini Tanzania yameanza kutangazwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) huku vyama vya CHADEMA na CCM vikionekana kuchuana vikali na kufuatiwa na Chama cha Wananchi, CUF hasa Zanzibar. Kwa mujibu wa matokeo ambayo yametangazwa CCM imeshinda katika Majimbo ya Makunduchi, Mtambile, Kibaha Mjini, Ndanda, Nsimbo, …