Matokeo ya Awali Uchaguzi wa Ubunge Arusha Mjini na Handeni Mjini

Matokeo ya Awali Uchaguzi wa Ubunge Arusha Mjini na Handeni Mjini Taarifa za awali ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba matokeo ya Ubunge Jimbo la Arusha Mjini; idadi ya wapiga kura walioandikishwa 317,814, Waliopiga kura 105,800 ikiwa sawa na 32.83%, Kura halali 104,353, Kura zilizoharibika 1447. MATOKEO; NAVOI MOLLEL ACT kura 342 sawa na 0.3%. PHILEMON OLAIS MOLLEL CCM kura …