Matokeo Kidato cha Sita; Sekondari Kongwe za Serikali Zaamka

BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya Kidato cha Sita, 2016 huku shule 10 zilizofanya vizuri ni pamoja na Sekondari za Kisimiri-Arusha, Feza Boys-Dar es Salaam, Alliance Girls-Mwanza, Feza Girls-Dar es Salaam, Marian Boys-Pwani, Tabora Boys -Tabora, Kibaha -Pwani, Mzumbe-Morogoro, Sekondari ya Ilboru-Arusha na Sekondari ya Tandahimba ya Mkoani Mtwara. Kwa mujibu wa matokeo hayo Shule kongwe za …

Takwimu Waanza Kusambaza Matokeo ya Sensa Mpya ya 2012

Na VERONICA KAZIMOTO, Dodoma OFISI ya Taifa ya Takwimu (NBS) mkoani Dodoma imeendesha semina ya usambazaji wa Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi 2012 kwa viongozi na watendaji wa ngazi mbalimbali wa mkoa huo kwa lengo la kuwajengea uelewa viongozi hao waweze kuyatumia matokeo ya Sensa hiyo kupanga mipango ya maendeleo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wakati wa Semina hiyo …