Jitihada za Pamoja Kigezo Kutokomeza Magonjwa Yasioambukizwa Tanzania

KUISHI ni jambo moja. Kuishi maisha yenye afya njema ni kitu kingine kabisa. Hakuna anaeweza kushuhudia juu ya ukweli huu zaidi ya wale wapatao adha itokanayo na athari za magonjwa yasiyo ya kuambukiza. Idadi kubwa ya watanzania watu wazima na watoto wasio na hatia ndio waathirika wanaopata mateso makubwa kutokana na aina mbalimbali ya magonjwa yasiyo ya kuambukizwa ikiwa ni …