Ukiguswa Waweza Okoa Maisha ya Binti Huyu Anayeteseka…!

NDUGU Wasamaria, napenda kutumia fursa hii kukushirikisha habari ya kusikitisha kuhusu dada Joyce Mwambepo (pichani akiwa na mwanaye wa miaka 4, na miguu yake iliyopooza) mkaazi wa Sinde jijini Mbeya. Dada huyu mwenye umri wa miaka 27 anaishi na bibi yake mwenye umri wa miaka 80 pamoja na huyo mwanaye. Kwa bahati mbaya mwezi April mwaka jana wa 2014 dada …

Jiji la Dar Bado Limejaa Maji!

Kama picha zinavyoonyesha hapo juu, jiji la Dar limeendelea kutesa wakazi wake kwa madimbwi yaliyosheheni Kila kona baada ya mvua kunyesha. Hapo ni maeneo ya Mayfair Plaza karibu na TMJ Hospital. Ni wakati sasa kwa serikali kuhakikisha jiji(inchi) Ina mifereji endelevu, ili kupunguzia wananchi kadhia hii. Picha zote na Mpiga picha maalum wa dev.kisakuzi.com