Mbinu Kuu za Kuepuka Matapeli wa Nyumba

Mbinu Kuu za Kuepuka Matapeli wa Nyumba *Lamudi Tanzania, yawaasa Watanzania kuwa makini kabla na baada ya kununua nyumba. Kutokana na ongezeko la watu binafsi na mashirika yanayojenga nyumba za biashara kuongezeka kwa kasi, watanzania wamekuwa wakikadiriwa na ongezeko la utapeli wa nyumba na viwanja visiyohalali. Lamudi Tanzania, inarahisisha kupunguza utapeli katika soko hili kwa kuainisha njia kuu tatu za …