Serikali Yasitisha Vibali vya Matangazo Tiba Asili

SERIKALI imesitisha vibali vya kurusha matangazo ya tiba za asili na mbadala kwenye vyombo vyote vya habari baada ya kubaini kuwa yanapotosha jamii. Taarifa iliyotolewa na Baraza la Tiba za Asili na Tiba Mbadala kwa vyombo vya habari jana, inaeleza kuwa katika siku za karibuni kumekuwapo na matangazo mbalimbali ya tiba hizo ambayo baadhi yake hayaisaidii jamii. Kutokana na taarifa …