Nishati na Madini Kufadhili Masomo Nchini China

     Mwanahabari Salome Kitomari kutoka gazeti la Nipashe, akiuliza maswali katika mkutano huo.  Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo. Hapa mkutano ukiendelea. Na Dotto Mwaibale WIZARA ya Nishati na Madini imetangaza nafasi za masomo kwa vijana wa Tanzania kwa ufadhili wa Serikali ya Watu wa China kwa kipindi cha mwaka 2015. Hayo yalibainishwa na Msemaji wa Wizara hiyo …