BRN Yaja na Mwarobaini Changamoto za Masoko ya Kilimo

Na Mwandishi Wetu OFISI ya Rais-Ufuatiliaji wa Utekelezaji wa Miradi (PDB) inayosimamia Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), imealika wataalamu wa kilimo ili kuchambua na kutoa mapendekezo juu ya namna bora nchi inavyoweza kutatua changamoto ya masoko kwa wakulima. Ili kufikia lengo hilo, maabara ndogo ya siku tano imeandaliwa ili kutathmini mifumo ya sasa ya masoko kwa mazao ya mahindi …