Na Mwandishi Wetu, Mtwara WAKATI siku ya mwisho ya urejeshaji wa fomu kwa vijana watakao shiriki Shindano la Mashujaa wa Kesho ukiwadia na dirisha la upokeaji fomu hizo kutarajiwa kufungwa hapo kesho majira ya saa nane idadi ya vijana waliorejesha fomu hizo imeendelea kupanda. Akizungumzia zoezi hilo jana mchana, Ofisa Mawasiliano wa Kampuni ya Statoil Tanzania, Erick Mchome aliwataka vijana …
Mashindano SHIMIWI Yapamba Moto, Yaingia Nusu Fainali
Na Eleuteri Mangi – MAELEZO MICHUANO ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) imefikia hatua ya nusu fainali kwa michezo ya kuvuta kamba, mpira wa miguu na mpira wa pete kwenye mashindano yanayoendelea mjini Morogoro. Katika mchezo wa kuvuta kamba timu za wanaume zilizoingia hatua hiyo ni Ikulu, Uchukuzi, Hazina na Mahakama wakati kwa upande wa …
Mashindano ya Soka kwa Vijana Taifa Kufanyika Mwanza, Makocha 32 Kunolewa
MASHINDANO ya Taifa kwa vijana wenye umri chini ya miaka 12 yatafanyika Desemba mwaka huu jijini Mwanza. Akizungumza wakati wa kutangaza mpango wa programu ya vijana inayolenga Fainali za Afrika za U17 mwaka 2019 ambapo Tanzania imeomba kuwa mwenyeji, Rais wa TFF, Jamal Malinzi alisema mashindano hayo yatashirikisha kombaini za mikoa yote. Mashindano hayo yatafanyika kuanzia Desemba 6 …
- Page 2 of 2
- 1
- 2