Kampuni ya Acacia Yadhamini Mbio za Baiskeli Shinyanga

  MASHINDANO ya mbio za baiskeli kanda ya Ziwa yaliyondaliwa na Chama cha baiskeli Tanzania (CHABATA) yanayodhaminiwa na kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Acacia inayomiliki migodi ya Buzwagi, Bulyanhulu na North Mara yanatarajiwa kutimua vumbi Julai 16,2016 mkoani Shinyanga. Mashindano hayo ya kusaka bingwa wa mbio za baiskeli kwa upande wa wanaume na wanawake kanda ya ziwa yanajumuisha …