Waziri Nape Afunga Mashindano ya Wazi ya Gofu Arusha

  Waziri wa Habari ,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mh Nape Nnauye akimkabidhi vifaa vya mchezo huo wa Gofu mshindi wa kwanza wa wachezaji wa ridhaa katika Mashindano ya Gofu ya wazi ya Tanzania,Richard Owit kutoka nchini Kenya,yaliofungwa jana jioni katika viwanja vya Kili Golf-USA River jijini Arusha,pichani kushoto ni Mwenyekiti wa chama cha Gofu Tanzania (TGU),Joseph Tango. Mashindano hayo yaliyokuwa na …

CRDB Yamkabidhi Tiketi Mshindi wa Shinda na TemboCard…!

  Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa (katikati), akifafanua jambo wakati wa hafla ya kukabidhi zawadi ya tiketi ya ndege ya kwenda Dubai kwa mshindi wa kampeni ya ‘Shinda na TemboCard’, Juliana Utamwa (kushoto) katika hafla iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaama, mwishoni mwa wiki. Kulia ni Dorisia Nanage ambaye ni ndugu …

Mashindano ya Baiskeli ya Rift Valley Odyssey Yafanyika

Washindi wa kwanza wa mashindano.ya baiskeli, ya  Rift Valley Odyssey  ya liyofanyika  jijini arusha  DEC 6 Mwaka huu Sophia Husseni wa kwanza (kulia) na Sophia Adson wa (pili) kutoka kulia wakiwa na Mkurugenzi wa 6degrees Simone Paine wa pili kutoka kulia yaliyo fanyika Arusha ambapo wachezaji toka ndani nan je ya nchi wameshirikai kwa takriban siku mbili kuendesha kwa umbali wa kilomita 115. Masindano ambayo yanawapa …

Balozi Sefue Kuzinduwa Mashindano ya SHIMIWI 2015

Na Mwandishi Wetu, MAELEZO-Dar es salaam KATIBU Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa michezo ya Wizara, Idara zinazojitegemea, Wakala wa Serikali na Ofisi za wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) itakayoanza Jumamosi ijayo(15.8.2015) mjini Morogoro. Kwa mujibu wa taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa leo jijini Dar es salaam na Kaimu Katibu Mkuu SHIMIWI Moshi Makuka, …

Mtemvu Cup Azindua Mashindano Mwembe Yanga Dar

 Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Temeke, Yahaya Sikunjema (wa pili kulia), akimkabidhi vifaa vya michezo Mwenyekiti wa CCM Kata ya Azimio, Essa Uswege kwa ajili ya mashindano ya Mtemvu Cup yaliyozinduliwa  jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu aliyeanzisha mashindano hayo na kushoto ni Diwani wa Kata ya Azimio, Hamisi Mzuzuri.   Mwenyekiti …