Michezo Bonaza la Masauni CUP Yaendelea Usiku Mjini Zanzibar

Mgeni raism wa Mchezo wa Bonaza la Masauni Cup Khamisi Mbeto akikagua timu ya Mkunazini iliotowa kipigo kwa timu ya Kilimani mabao 2-0. mchezo uliofanyika uwanja wa malindi mnazi mmoja. Kikosi cha timu ya Kilimani kinachoshiriki michezo ya Bonaza Masauni Cup inayofanyika katika viwanja vya malindi mnazi mmoja Kikosi cha timu ya Mkunazini kinachotowa dozo katika michuano ya Bonaza Kombe …