Pinda Apiga Marufuku Ukarabati Maabara, Ataka Mpya

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amepiga marufuku ukarabati wa maabara za shule za sekondari na kusisitiza kwamba ni lazima zijengwe mpya kama ambavyo Serikali ilielekeza. Ametoa agizo hilo leo Februari 21, 2015 wakati akizungumza na mamia ya wakazi wa kata ya Ilula, mara baada ya kukagua ukarabati wa maabara za sayansi kwenye shule ya sekondari Ilula, wilayani Kilolo, mkoani Iringa. “Mmefanya …