TFF Yamtimu Mart Nooij Stars na Kumtangaza Mkwasa

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania – TFF, Jamal Malinzi ameagana rasmi na aliyekua kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), mholanzi Mart Nooij na kumtangaza Charles Mkwasa kuwa kocha mpya wa timu hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Tansoma, Malinzi amesema wameamua kuagana nae mbele ya vyombo ya habari kama iliyofanyika …

Kocha Mkuu Stars Kutimuliwa, Apewa Mtihani wa Mwisho…!

KAMATI ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imesikitishwa na mwenendo mbovu wa Taifa Stars, hivyo kumpa mtihani wa mwisho kocha mkuu wa timu ya Taifa, Mart Nooij na endapo atashindwa atafukuzwa kazi. Kwa mujibu wa taarifa ya kamati hiyo mtihani aliopewa kocha Mart Nooij ni kuhakikisha anafuzu kwa fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) …