KATIKA hali isiyouwa ya kawaida Timu ya Yanga ya Jijini Dar es Salaam imemtimua kocha wake Mkuu Marcio Maximo na kuingia mkataba na Kocha Amiss Tambwe. Kocha Maximo anatimuliwa ikiwa ni siku mbili baada ya Timu ya Yanga kucharazwa magoli mawili na watani wao wa jadi Simba SC ya jijini Dar es Salaam kwenye mchezo wa Nani Mtani Jembe uliofanyika …