Mapya Yaibuka Ugonjwa wa Ebola

SIERRA Leone imesema kuwa imegundua visa vipya 130 vya maambukizi ya Ebola katika siku tatu ambapo Serikali iliweka amri ya kutotoka nje ikiwa ni hatua ya kupita mitaani kutoa elimu na kuwatambua wagonjwa majumbani. Baada ya zoezi hilo jumla ya watu wengine 39 wametengwa huku wakifanyiwa uchunguzi kubaini ikiwa wameambukizwa ugonjwa huo. Mkuu wa kitengo cha dharura cha kukabiliana na …