Maprofesa SUA Waomba Kuongezewa Muda wa Kustaafu, Pinda Avutiwa…!

  PROFESA Gerald Monella wa Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA), ameiomba Serikali kuongeza muda wa kustaafu kwa wahadhiri wa vyuo vikuu kwani wanapozeeka ndiyo wanapata muda wa kufanya tafiti zaidi. Gerald Monella ametoa kauli hiyo jana mbele ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipokuwa akizungumza na wahadhiri, wakufunzi, wanafunzi na wanajumuiya wa SUA mara baada ya kutembelea chuo hicho …