Je Unaishi Maisha Bora Au Bora Maisha? Sehemu ya 2

Wanajamvi wa Chuo Cha Maisha natumai wote mnaendelea vema. Leo tupo katika sehemu ya pili ya mtiririko wa zile sifa 15, ambazo mtaalam Ziglar ametuwekea bayana kwamba ndio zitatusaidia kutambua kama tunaishi maisha bora au bora maisha. Leo tunaendelea na sifa nyingine 5, kwani wiki iliyopita tulizitaja 5, na kama ulipitwa, basi gonga hapa: http://www.thehabari.com/habari-tanzania/je-unaishi-maisha-bora-au-bora-maisha; chap chap, ili uzisome kabla …

Je, Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

  KAMA wewe ni mwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wa kujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu kwamba huwa unatoa milio na miguno hiyo. Ni nini basi kinachopelekea milio na miguno hii kutolewa? Je milio na miguno hii ni ya kweli au ni zuga tu, ili kumfanya mwanaume ajisikie “kijogoo“? Baadhi ya …

Haya Ndio Mapenzi Ya Ukweli

Mpiga picha Nancy Borovik aliwapiga picha wazazi wake wakiwa wanapigana na ugonjwa wa kansa. Nancy alivyojua kuwa wazazi wake wote wana kansa, hakujua ni namna gani watachukulia ugonjwa huo, lakini waliweza kusaidiana na kupeana moyo mpaka mwisho.

Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii! Sehemu ya 2

          Juma lililopita tuliangalia masuala matanohttp://www.thehabari.com/habari-tanzania/kama-una-mpango-wa-kuoa-siku-moja-lazima-usome-hii , ambayo unatakiwa uzingatie kabla haujafanya maamuzi mazito ya kufunga ndoa na mpenzi wako. Leo tunaendelea na masuala matano ya mwisho, na kwa ujumla yake yanakuwa kumi. 6. Je wewe na mpenzi wako mnachangia dini? Kama mpo dini tofauti au hata madhehebu tofauti, basi ni kitu cha kuwa makini sana. …

Kama Una Mpango Wa Kuoa Au Kuolewa, Lazima Usome Hii!

    Je umeshawahi kuwa na mashaka yeyote kuhusu kuoa? Je unafikiri haupo tayari kuoa? Kama majibu ya maswali haya ni NDIO, basi zingatia masuala yafuatayo, ambayo yatakusaidia kutambua kama upo tayari kuoa au kama mazingira ya kuoa ni salama kwako. Michele K, mtaalamu wa masuala ya mapenzi na mahusiano, ambaye ameandika na kuuza maandiko (Articles) zaidi ya 550, anasema …