Manispaa ya Ilala Yazungumzi Mpango Uboreshaji na Ukusanyaji Mapato

 Meneja Kodi Majengo wa Manispaa hiyo, Stellah Mgumia akitoa ufafanuzi mbalimbali wa ukusanyaji wa mapato.  Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Manispaa hiyo, Francis Luambano (kushoto), akizungumza na wanahabari katika mkutano huo.  Ofisa Biashara wa Manispaa hiyo, Dennis Mrema, akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari.  Wanahabari wakichukua taarifa hiyo. Mkutano ukiendelea. Na Dotto Mwaibale MANISPAA ya Ilala imewaonya …

Pinda Aitaka Mbeya Kukusanya Mapato Zaidi

WAZIRI MKUU Mizengo Pinda ameutaka uongozi wa Jiji la Mbeya uongeze mapato yake ya ndani kwa kuweka mifumo ya kisasa ya ukusanyaji mapato. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Agosti 2, 2014) wakati akizindua stendi ya kisasa ya mabasi katika eneo la Nane Nane nje kidogo ya Jiji la Mbeya. “Nikuombe Meya Kapunga, wewe na watu wako ongezeni mapato ya ndani …