TACAIDS Yateta na Wadau wa Mapambano ya Ukimwi

  Na Aron Msigwa – MAELEZO, Dar es Salaam TUME ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS) imewataka baadhi ya wadau, mashirika na taasisi zilizo katika mapambano dhidi Ukimwi kuzingatia malengo ya awali ya kuanzishwa kwa taasisi hizo na kuepuka kuijiingiza katika shughuli za uanaharakati ambazo ni kinyume cha sheria. Akizungumza katika kikao chake cha kwanza na wadau mbalimbali walio katika …

Ripoti Tathmini Mazingira ya Kisheria Mwitikio wa Ukimwi Yazinduliwa

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Ukimwi Zanzibar (ZAC), Dk. Ali Ali (katikati), Kaimu Mwenyekiti Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Jumanne Issango (kushoto) na Naibu Mkurugenzi Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP), Titus Osundina wakikata utepe kwa pamoja kuashiria uzinduzi wa ripoti ya tahmini ya mazingira ya kisheria katika mwitikio wa ukimwi …

Kampuni za Mapambano ya Ukimwi Kazini, ABCT Zatoa Mafunzo

Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo zinazopambana na UKIMWI Mahala pa kazi (ABCT) Tanzania, Richard Kasesera (kushoto) akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya waratibu wa UKIMWI na Afya mahala pa kazi, Dar es Salaam jana. Kulia ni Meneja Mratibu wa  ABCT, Ruth Gundula. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA) Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa Kampuni Kubwa na Ndogo …

Viongozi Dar Watakiwa Kuongoza Mapambano ya Ukimwi

Na Aron Msigwa-Maelezo SERIKALI imewataka viongozi na watendaji wa Jiji la Dar es Salaam kuhakikisha wanatoa kipaumbele na kuchukua hatua za makusudi kukabiliana na vitendo vyote vinavyochangia maambukizi mapya ya VVU katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo. Kauli hiyo imetolewa jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki wakati wa kikao cha majumuisho …

Rais Kikwete Ataka Sekta Binafsi Kujihusisha na Mapambano ya Ukimwi

RAIS atoa changamoto sekta binafsi kujihusisha zaidi na mapambano dhidi ya Ukimwi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete ameitaka sekta binafsi kujihusisha zaidi katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa UKIMWI kwa sababu ugonjwa huo unaathiri uchumi na biashara na kuongeza mzigo wa gharama za uzalishaji wa makampuni hayo. Aidha, Rais Kikwete amesema kuwa pamoja na kwamba …