Hospitali ya Apollo Yatenganisha Mapacha Walioungana Kutoka Tanzania

WATANZANIA wameendelea kufaidika kwa huduma bora za afya kutoka kwa hospitali ya Apollo iliyokonchini India. Hii ni kufuatia hosiptali hiyo kufanikiwa kuwatenganisha mapacha wa kike Abriana na Adriana waliokuwa wameunganika chini ya kifua na tumbo ni kutoka nchini Tanzania katika upasuaji uliofanyika Novemba 17 Novemba 2014 nchini India. Mapacha waliounganika kwa mtindo huu hujulikana kwa watalaam kama Thoraco Omphalopahus na …