Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake Ulivyonufaisha…!

  Katibu Mtendaji wa Baraza la Uwezeshaji Tanzania Beng’i Issa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Wanawake wajasiriamali, Jane Baseka aliyenufaika na mafunzo chini ya Mradi wa Mpango wa Kukuza Biashara kwa Wanawake (MKUBWA), alipokagua bidhaa zao wakati wa mahafali, yaliyofanyika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam leo. Wajasiriamali 510 walihitimu baada ya kuhudhuria mafunzo, yaliyoandaliwa na asasi …