Na Woinde Shizza, Arusha WACHIMBAJI wa madini ya vito nchini wametakiwa kushiriki katika maonyesho ya wachimbaji wadogo wa madini ili kuweza kutumia fursa hiyo ya kuuza na kupanua wigo wa kupata masoko ya ndani na nje ili kuweza kukuza uchumi wao na pato la taaifa. Hayo yameelezwa leo na kamishina wa madini kanda ya kaskazini Elius Kayandabila wakati …
Banda la NSSF Lavutia Wengi Maonesho 39 ya Kimataifa Sabasaba
WANACHAMA wote wa NSSF na wasio Wanachama Mnakaribishwa kujionea na kupata huduma mbalimbali zikiwemo, taarifa za jumla zinazohusu kujiandikisha uanachama, uwekezaji unaofanywa na Shirika, Maelezo kuhusu Bima ya afya itolewayo na NSSF,na kupata Kadi mpya. Wageni wote wanaweza kujua kuhusu namna ya kuwasilisha maoni yao kupitia mfumo wetu mypa wa HaapyOrNot uliopo katika ofisi za Kinondoni, Ilala, Temeke na GDE- …
Maonesho ya Jua Kali Kufanyika Kigali
Na James Gashumba, EANA MAONESHO ya kanda maarufu kwa jina la Jua Kali/Nguvu Kazi yatafanyika mjini Kigali, Rwanda Desemba 1, mwaka huu. Maonesha hayo yanayoandaliwa chini ya kauli mbiu “Kuendeleza uchumi mdogo na Sekta Endelevu ya Ujasiliamali kwa Mtangamano na Kukuza Uchumi,” yanatarajiwa kuhudhuriwa na wabunifu wapatao 1,000 kwa mujibu wa serikali ya Rwanda. Waziri wa Viwanda na Biashara wa …
Maonesho Kumuenzi Baba wa Taifa Kufanyika Okt. 13
Na Anna Nkinda – Maelezo TAASISI ya Mwalimu Nyerere kwa kushirikiana na Makumbusho ya Taifa na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wameandaa maonesho na mdahalo wa kukumbuka na kuenzi mchango wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kujenga, kutetea, kulinda na kudumisha amani Duniani. Maonyesho hayo ya siku tano ambayo yatafunguliwa tarehe 13 na …