Manzese Sekondari Dar Kunufaika na Biogas

Na Eleteri Mangi, MAELEZO SHULE ya Sekondari Manzese itanufaika na mradi wa ujenzi wa mtambo wa kuzalisha gesi ambayo ni nishati endelevu na rafiki na inayohifadhi mazingira nchini (Biogas). Kauli hiyo imetolewa na Meneja Uhusiano wa Jamii Mamlaka ya Majisafi na Majitaka Dar es Salaam (DAWASA), Bi. Neli Msuya alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa wiki walipotembelea mradi …