Yanga Yagawanyika, Manji Aingia Mgogoro

BAADA ya kumtimua kocha Mkuu wa timu yake na baada ya kubwaga chini sekretariati ya klabu hiyo, Mwenyekiti wa Klabu ya Young Africans Sports Club (Yanga) Bw. Yusuf manji, ameamua kuwafanyizia baadhi ya waliokuwa watumishi wa Klabu hiyo akiwemo Beno Njovu, Katibu Mkuu aliyepita. Kulingana na mawasiliano yaliyonaswa na makachero wetu kati ya Mwenyekiti huyo na viongozi wa juu wa …