Madiwani Manispaa ya Lindi Wapata Mafunzo Juu ya Miradi ya UTT-PID

  Baadhi ya Madiwani wa Manispaa ya Lindi, wakiendelea na mafunzo hayo kutoka kwa maofisa wa UTT-PID (hawapo pichani). Diwani akifuatilia mafunzo ya UTT-PID. Madiwani wa Manispaa ya Lindi wakifuatilia mkutano huo wa UTT-PID jijini Dar es Salaam. Pichani juu na chini ni madiwani wakifuatilia mkutano huo wa UTT-PID uliokuwa unafanyika jijini Dar es Salaam. Madiwani wakiwa kwenye mafunzo hayo …