Washiriki Mama Shujaa wa Chakula 2015 Wauza Bidhaa Zao

Ni siku ya 14 ambapo mampema kabisa washiriki wa shindano la Mama Shujaa wa Chakula Msimu wa nne 2015 linaloendeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na yenye kauli yake ya Wekeza kwa wakulima wadogo wadogo wanawake inalipa , na Kipindi ambacho kinaruka katika Runinga yako kupitia Chanel ya ITV kuanzia saa 12:30 jioni na Marudio saa 11:30 za …

Mshiriki Shindano la Mama Shujaa wa Chakula Aanguka Mkutanoni…!

 Hapa ilikuwa ni mapema kabisa ambapo washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula msimu wa Nne wakiwa wanajikusanya kwa ajili ya kupewa mwongozo wa siku nzima  Baada ya washiriki wa Shindano la Mama shujaa wa Chakula  Shindano linalo endeshwa na Oxfam kupitia kampeni yake ya Grow na kudhaminiwa na Gates and Melinda Foundation,TBS, Cooperative Bank Great Britain na Care …

Msimu wa Nne wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula Waanza

Mkurugenzi Mkazi wa Oxfam Tanzania Jane Foster akiwashukuru wadau mbalimbali ambao wamefanikisha mchakato mzima wa kuendesha shindano la Mama Shujaa wa Chakula, Pia Kipekee Amewashukuru wafanyakazi wa Oxfam akiwepo Eluka Kibona na Suhaila Thawer kwa kuwa Mstari wa mbele kufanikisha shindano hilo.  Baadhi ya washiriki wa Shindano la Mama Shujaa wa Chakula 2015 wakiwa katika Sherehe ya kukaribishwa hapo jana katika kijiji cha …