Mama Salma Awataka Wasichana Kutoogopa Sayansi

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi WANAFUNZI wa kike nchini wameaswa kutoogopa masomo ya sayansi kwani masomo hayo siyo magumu ukilinganisha na mengine, bali wanachotakiwa kufanya ni kuzishika na kuzijua kanuni za somo husika. Rai hiyo imetolewa jana na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete wakati akiongea …

Mama Salma Aitaka Jamii Kushirikiana Kuwalea Yatima

Na Anna Nkinda – Maelezo JAMII imetakiwa kushirikiana kwa pamoja kuwalea watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi kwani wengi wao hawana wazazi na walezi wao hawana uwezo wa kuwapatia mahitaji yao ya msingi ikiwemo elimu. Mwito huo umetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akizungumza kwenye hafla fupi ya kuwapongeza walimu wa shule ya Sekondari ya WAMA-Nakayama …