Mafunzo ya Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi wa Utafiti wa Afya ya Mama na Mtoto

Mkurugenzi wa Kinga kutoka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii,Neema Rusibamanyila akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya wasimamizi,wahariri na wadadisi wa utafiti wa afya ya mama na mtoto na Maralia yanayofanyika kwa siku 36 katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. Baadhi ya wauguzi wanaoshiriki mafunzo hayo yanayofanyika katika ukumbi wa YMCA mjini Moshi. Mwakilishi wa Mkurugenzi mkuu wa …