Mama Kikwete Ataka Fedha za Mikopo Zitumike kwa Malengo

Na Anna Nkinda – Maelezo, Rufiji WANACHAMA wa vikundi vya kukopa na kuweka akiba wametakiwa kuwa na uthubutu na kujiwekea malengo ya maendeleo kutokana na fedha wanazokopa kwa kufanya hivyo wataweza kujikwamua kutoka maisha ya umaskini na kuongeza kipato cha familia. Rai hiyo imetolewa na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati wa sherehe za kuadhimisha mwaka mmoja wa kuanzishwa kwa vikundi …

Vijana Tusikubali Kutumika Kivurugu – Mama Kikwete

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka vijana kuwa na msimamo na kutokubali kutumika katika vurugu zinazohatarisha amani na usalama wa nchi. Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete alitoa rai hiyo hivi karibuni wakati akifungua …

Mama Kikwete Awaasa Vijana Uzinduzi UWAMAKI

Na Anna Nkinda – Maelezo VIJANA wametakiwa kujiunga na vikundi vya kuweka akiba na kukopa ili kuchangia mawazo yao  na ubunifu na wakati huo huo wanajitengenezea mazingira ya kujiajiri kwani wengi wao wana elimu na ujuzi walioupata masomoni lakini wanakabiliwa na tatizo la ukosefu wa ajira. Rai hiyo imetolewa leo na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akizindua Umoja wa Vikundi …

Mama Kikwete Awataka Wanalindi Kujitokeza Kupiga Kura

Na Anna Nkinda – Maelezo, Lindi MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia wilaya ya Lindi mjini Mama Salma Kikwete amewataka wanachama wa chama hicho pamoja na wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwishoni mwa wiki hii. Mama Kikwete ambaye ni Mke wa Rais Dk. Jakaya Mrisho …

Mama Kikwete Ashauri Kinyesi cha Binadamu Kitumike…!

Na Anna Nkinda – Maelezo MKE wa Rais Mama Salma Kikwete ameutaka uongozi wa Tanzania Domestic Biogas Programme (CAMARTEC) kuangalia uwezekano wa kutumia kinyesi cha binadamu kuzalisha Biogesi katika maeneo yasiyo na mifugo ya kutosha kwa kuwa utekelezaji wa program hiyo unaangalia wingi wa mifugo hususani ng’ombe na upatikanaji wa maji. Mama Kikwete ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya …